Title: WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
1WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
-
- SEMINA ELEKEZI
- UBORESHAJI WA MFUMO WA BIMA YA AFYA YA TAIFA
- E.B.D. Humba
- Mkurugenzi Mkuu
- Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
- 2-6 Oktoba 2006. Arusha
21.0 UTANGULIZI
- Sheria ya uanzishwaji
-
- Lengo la uanzishwaji
32.0 UANACHAMA
- Watumishi wa Serikali Kuu (Civil Servants),
- Watumishi wa serikali za mitaa,
- Watumishi wa Mashirika ya Umma,
- Maandalizi ya kujumuishwa Polisi, Magereza,
Uhamiaji na Zimamoto
43.0 KUKUA KWA WANUFAIKA WA MFUKO
54.0 VITAMBULISHO VYA WANACHAMA
- Mahitaji ya sasa ya vitambulisho 1,307,923
- Vitambulisho vilivyotolewa ni 1,047,489
- Hii ni asilimia 80 ya vitambulisho vyote
vilivyotarajiwa kutolewa.
65.0 CHANGAMOTO YA VITAMBULISHO
- Vyanzo vya tatizo la vitambulisho
- I. Mwanachama
- Ujazaji mbaya wa fomu.
- II. Mwajiri
- Kuchelewa kuwasilisha fomu
- III. Mfuko
- Kupatiwa anwani zisizo sahihi za waajiri
76.0 USAJILI WA VITUO VYA MATIBABU
87.0 MABORESHO YA MAFAO
9.Maboresho
- Vipimo ( 9 54)
- Upasuaji (specialized surgeries)
- Orodha ya Madawa (445 555)
- Bei ya Madawa imepanda kwa 56
- Miwani Mfuko umelipa 103,410,000/.
- Uzibaji wa meno na Mazoezi ya viungo
108.0 MAPATO YA MFUKO Shilingi TZ (000,000)
119.0 MALIPO KWA WATOA HUDUMA
- Mfuko unalipia gharama za
- Ada ya uandikishaji
- Matibabu ya nje (Outpatient)
- Kulazwa (Inpatient)
12Malipo kwa Watoa Huduma
- Vipimo muhimu,
- Upasuaji na
- Dawa
139.1 MAHUDHURIO YA WAGONJWA
149.2 Mchanganuo wa Malipo
1510.0 MAFANIKIO
- Ramani ya Vituo vya Afya nchini
- Uelewa wa wadau umeongezeka
- Kuongezeka kwa malipo ya matibabu yameongezeka
- Uboreshaji wa Mafao
- Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika kuchangia
huduma za Afya nchini (PPP).
16Mafanikio
- Mtambo wa kutengeneza vitambulisho
- Nchi zingine zinakuja kujifunza kwetu
- Hati Safi za Hesabu (Clean Audit Reports)-
(2001/02-2005/06) - Tathmini ya Mfuko/Actuarial Valuation
17..Mafanikio
- Ongezeko la wanachama
- Mfumo wa kisasa wa malipo kwa Watoa Huduma
(Premia)
1811.0 CHANGAMOTO
- Uhaba wa Dawa
- Kupanda kwa Bei za Dawa
- Upungufu wa Watumishi katika Vituo
19Changamoto
- Huduma vijijini (Watumishi, Dawa na Vifaa tiba)
- Kuchelewa kuwasilisha madai kwenye ofisi za Mfuko
kama sheria inavyoagiza (siku 60)
20..Changamoto
- Kuwasilisha madai yenye utata
- Ukomo wa kisheria wa kiwango cha matumizi ya
uendeshaji wa Mfuko - Ukimwi (HIV/AIDS)
- Kodi ya mapato.
2112.0 MATARAJIO NA MWELEKEO WA MFUKO
- Kuwajumuisha Wastaafu kwenye Mfuko
- Kuendeleza Elimu kwa Wadau (Siku ya Wadau,
vipeperushi nk) - Usambazaji/Utoaji Huduma Vijijini (ADDOs, kutoa
mikopo ya vifaa na kuongeza Ofisi zaidi za Kanda - Kupanua wigo wa Wanachama
22.Matarajio na Mwelekeo
- Kuimarisha kitengo cha Utafiti (RD)
- Kuhamasisha dhana ya Mtu ni Afya
- NHIF Cordinators nchini kote
- Best Health Provider Award
2313.0 SHUKRANI
- Menejimenti ya Mfuko inatoa shukrani za dhati kwa
Wizara ya Afya na wadau wote kwa ushauri na
maelekezo mbalimbali. - Matumizi ya lugha chafu kwa wanachama yamepungua
24Shukrani
- Maendeleo katika utoaji wa huduma kwa
wanachama(Daraja la I,II na madirisha maalum) - Kwa Kasi, Nguvu na Ari hii tunaamini azma ya
Serikali ya Bima ya Afya kwa wananchi asilimia 45
ifikapo mwaka 2014/15 ni dhahiri itafikiwa.
2514.0 HITIMISHO
- Ujenzi wa vituo vya Afya uende sambamba na umbali
(Angalia Ramani ya Vituo) - Kuhakikisha utekelezaji wa Indent System na
usimamizi wa dawa - Kuhimiza na kufuatilia utekelezaji wa miongozo ya
matibabu na - Kuhakikisha kwamba fedha zinazolipwa na MTBA
zinaboresha huduma na hasa vijijini.
26ASANTENI SANA KWA KUNISIKILIZA
Kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia tovuti
ya Mfuko www.nhiftz.com MKURUGENZI MKUU, MFUKO
WA TAIFA WA BIMA YA AFYA S.L.P 11360, DAR ES
SALAAM Tel 0 255 2130826/2136406.