Title: YALIYOMO
1YALIYOMO
- MPANGO MKAKATI
- MUUNDO
- UONGOZI
2MAANA YA MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING
- Mpango ni mfumo wa kimaandishi unaoonesha kazi
zinazotakiwa kufanywa na hatua mbalimbali za
kufikia malengo yaliyowekwa kwa muda maalumu.
3UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI
- Mara nyingi ufanisi wa utekelezaji huwa mzuri
- Inaweka mpangilio mzuri wa matumizi ya
rasilimali. - Inasaidia kuratibu kazi zote ili kufikia lengo.
- Inasaidia kuweka vipaumbele
- Inasaidia kutoendeshwa na matakwa ya wafadhili
4MPANGO MKAKATI
- Maana ya mpango mkakati
- Umuhimu wa kuwa na mpango mkakati
- Hatua za kuwa na mpango mkakati
5UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI
- Inatoa mwelekeo wa jumuiya na kuonyesha njia
- Inaonyesha shughuli / kazi kuu za jumuiya
- Inasaidia kujua nyenzo zinazohitajika na hivyo
kuchukua jitihada ya kuzitafuta - Inasaidia kutathimini kama lengo la jumuiya
limefanikiwa au halikufanikiwa kwa muda
uliopangwa . - Inasaidia katika ugawaji wa majukumu na dhamana
miongoni mwa wanachama.
6HATUA ZA KUTAYARISHA MPANGO MKAKATI
- Matayarisho (preparation)
- Uhakiki wa mission, vision na value
- Historia asasi ( organization bio- line )
- Uchambuzi wa mazingira ( environment scan)
- Malengo makhususi ( specific objectives)
- Kazi au shughuli
- Viashirio ( indicators)
- Matumaini na mashaka assumption and risk.
- Ufuatiliaji na tathimini ( monitoring and
evaluation)
7MATAYARISHO /MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI
- Wakati wa kuandaa au kutayarisha zoezi la mpango
mkakati ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo. - Sababu ya kutayarisha mpango huo
- Nani watashiriki katika zoezi hilo
- Je washiriki wamealifiwa na kukubali
- Je washiriki wanaelewa sababu ya kuandaa mpango
mkakati huo - Nani ataongoza zoezi la mpango mkakati
- Ni yepi maandalizi na mahitaji muhimu kwa ajili
ya kufanikisha zoezi hilo.
8MIFANO YA VISION
- Progressive and civil society which citizens,
their association and institutions of society
enjoys equitable access and control over the
benefit of human development .(NGORC) - Capable society that uses education to bring its
development (The ELITE).
9MIFANO YA MISSION.
- Changamoto encourages self employment through
provision of credits, quality education and
according to the needs of Zanzibar society.(
changamoto) - NGORC enhance the competency and credibility of
CBOs, grass root CSOs, build capacity of young
men and women and to catalyze the emergence of
an enabling environment for civil society thus
enabling it to contribute effectively to social
development in zanzibar and some selected arears
in East Africa
10UHAKIKI WA VISION, MISION NA MAADILI
- Vision ni ile picha au ndoto ya kimaendeleo
ambayo asasi inatarajia kuifikia - Ni yale mabadiliko chanya ya kimaendeleo ambayo
asasi inataka walengwa wayafikie na kufaidika
nayo -
- MFANO WA VISION
- Children and youth friendly society ( ZACA)
- Inclusive and equitable society mobilized for
sustainable development in Ole . ( ODC) - Poverty free society (CHANGAMOTO)
11MISSION
- Ni kazi kuu ambazo asasi inajikita ili kufikia
vision yake. - Maswali muhimu ya kujiuliza katika kuandika
mission ya asasi ni, sisi ni nani , tutafanya
nini na vipi, tunafanya kwa nani na wapi. - MIFANO YA MISSION
- ZACA contributes in the improvement of most
vainarable childrens condition and promotion of
positive behaviour change of youth in Zanzibar
though advocacy , training , provision of
psycho-social support and education . (ZACA)
12 VALUES
- Ni imani au maadili ambayo asasi imejiwekea,
- inayathamini na kuyazingatia katika utendaji
wake wa kila siku, mahusiano miongoni mwa wana
asasi, walengwa na hata jamii kwa ujumla, - MFANO WA VALUE ZA ASASI.
-
13HISTORIA YA ASASI ( ORGANIZATION BIO- LINE)
- Hapa unaeleza kwa ufupi mambo yafuatayo
- Sisi ni nani
- Jina la asasi
- Eleza iwapo ni NGO, CBO, VDO n.k
- Imeanza lini
- Kama imesajiliwa
- Idadi ya wanachama , wanaume wangapi? Wanawake
wangapi? - Inafanya kazi gani na wapi?
14UCHAMBUZI WA KIMAZINGIRA ENVIRONMENTAL SCAN)
- Uchambuzi wa kimazingira unatusaidia kujua fursa
na vikwazo ( opportunity and threats vilivyomo
katika mazingira yaliyotuzunguka - Mambo unayoyaangalia katika uchambuzi huu ni
pamoja na - Kukubalika kwa jamii, walengwa
- Kukubalika kuhitajika kwa huduma zenu
- Serikali na mipango yake, serikali ina mipango
- Gani katika nyanja ambayo mnafanyia kazi
- Wafadhili
- Asasi nyingine ushirikiano /ushindani.
15MALENGO MAHSUSI ( SPECIFIC OBJECTIVES)
- Baada ya kufanya uchambuzi wa kimazingira na
kujua fursa ya vikwazo vilivyopo tunajiwekea
malengo makhususi - Malengo mahsusi ni yale mambo hasa tunayodhamiria
kuyafanyia kazi na kuona matokeo yake baada ya
muda tuliojipangia - Mifano ya malengo makhsusi
- mashirikiano yanakuwepo na kuimarika baina ya
serikali, asasi za kiraia na sekta ya biashara
katika kuleta maendeleo
16HISTORIA YA
- Malengo yetu makuu ni yepi?
- Mafanikio makuu tuliyoyapata tokea kuanzishwa kwa
asasi - Matatizo tuliyokumbana nayo ambayo yamesababisha
kutofanikiwa kwa utekeleaji wa malengo.
17UCHAMBUZI WA KIMAZINGIRA
- Hali ya kiserasera ya serikali inaathiri vipi
mipango yenu. - Hali ya kisheria sheria inaathiri vipi mipango
yenu. - Hali ya siasa
- Geografia
- Utamaduni
18MIFANO YA MAL
- Taasisi za kiraia ziwe zimeimarika kitaaluma na
kiuwezo ili ziweze kutimiza malengo
zilizojipangia na hivyo kuchangia katika
maendeleo ya kijamii. - Wanajamii wapate taarifa muhimu na sahii za
kimaendeleo ili nao washiriki kikamilifu katika
mchakato wa maendeleo - Vijana wawe wanashiriki katika uongozi wa nyanja
mbalimbali na mchakato wa maendeleo
19KAZI /SHUGHULI (ACTIVITIES)
- Vipi tutaweza kufikia malengo mahususi
tuliyojiwekea - Kwa kila lengo mahususi tuliyojiwekea tunatakiwa
tuainishe kazi tutakazofanya ambazo zitatuwezesha
kufikia malengo yetu - Kwa mujibu wa malengo yaliyoainishwa hapo juu
kazi zinaweza kuwa pamoja na - Kujenga uwezo wa asasi kwa njia mbalimbali
20VIASHIRIO (INDICATORS )
- Tunatakiwa kuweka bayana kabisa viashirio ambavyo
vitatusaidia kupima mafanikio wakati na baada ya
utekelezaji wa kazi - Swali la msingi hapa ni kujiuliza ni vipi tutajua
iwapo lengo tulilojiwekea limefanikiwa ama la. - Hivyo kwa kila lengo mahsusi na kazi
tulizoainisha tunatakiwa tuweke viashirio ili
kupima mafanikio yake.
21VIASHIRIO
- Mabadiliko mbalimbali ya sera yaliyofanywa
- Kuongezeka kwa mchango wa sekta ya biashara kwaw
miradi ya maendeleo ya kijamii.
22KAZI
- Kufanya tafiti na kutoa machapisho
- Kufanya uchambuzi wa sera mbalimbali za kitaifa
ili kuona ufanisi na athari zake kwa asasi za
kiraia na jamii kwa ujumla
23MIFANO YA VIASHIRIA
- Kwa mujibu wa malengo mahsusi na kazi
tulizoziainisha hapo juu, viashiria vinaweza kuwa
pamoja na - Idadi ya asasi za kiraia zilizojengewa uwezo
- Kukua kwa ushiriki wa vijana katika uongozi
- Vituo vya habari za maendeleo vilivyoanzishwa
- Idadi ya waandishi wanaofika katika vituo vya
taarifa za maendeleo kwa lengo la kupata taarifa
mbali mbali za maendeleo
24MATUMAINI/DHANA NA MASHAKA(RISK ASSUMPTION)
- Mambo mazingira au hali fulani tunayoitumiania
ili kazi tulizojipangia ziweze kufanyika kwa
ufanisi . - Kuvurugika kwa hali hiyo kunavyoweza kuvuruga
kazi na malengo yetu - Ni matumaini yetu hali ya utulivu wa kisiasa
itaendelea ikitokea kuvurugika kwa hali ya
utulivu mipango yetu inaweza kuvurugika
25UFUATILIAJI NA TATHIMINIMONITORING EVALUATION
- Eleza kwa ufupi mipango ya asasi katika kusimamia
na kutathimini mwenendo wa kazi ili kuweza kupima
mafanikio - Mbinu gani utatumia
- Dhana utakazotumia
- Kila baada ya muda gani
- Nani watakaohusika na zoezi hilo n.k
26MAANA YA MUUNDO
- Muundo ni mfumo unaoonesha vyeo vya watu
mbalimbali ndani ya jumuiya au ni mtiririko
maalumu wa nafasi mbalimbali za uongozi katika
jumuiya ambao una lengo la kuwa na ufanisi
katika utekelezaji wa kazi
27SIFA ZA MUUNDO MZURI
- Muundo wa asasi ukidhi haja
- Muundo uwe na uwezo wa kubadilika kulingana na
wakati na hali halisi - Muundo wa asasi unatakiwa ueleweke kwa wanachama
wote - Muundo wa jumuiya lazima uwe sawa na ule uliyomo
kwenye katiba zao.
28MUUNDO
- Maana ya muundo
- Umuhimu wa muundo
- Sifa za muundo mzuri
29UMUHIMU WA MUUNDO
- Kunakuwa na urahisi na ufanisi wa utendaji kazi
- Kila mtu anajua kazi yake
- Unarahisisha mahusiano ya jumuiya
- Mipango ya kazi hutekelezwa kwa urahisi zaidi
- Unasaidia wanachama na viongozi wapya kujifunza
na kuelewa shughuli za jumuiya kwa urahisi zaidi,
- Jumuiya inakuwa haiyumbishwi na watu wa nje.
30MAANA YA UONGOZI
- Uongozi ni uwezo wa kuwaelekeza na kuwahamasisha
watu wengine katika jumuiya (kamati) ili kufikia
lengo lililokusudiwa
31UONGOZI
- MAANA YA UONGOZI
- SIFA ZA KIONGOZI MZURI
- AINA ZA UONGOZI
32SIFA ZA UONGOZI
- Awe na uwezo mzuri wa kumbukumbu
- Awe na ushirikiano mwema ndani na nje ya jumuiya
- Awe anaongoza kutokana na mazingira yaliyopo
- Awe mtumishi wa watua
- Awe mwenye kujiamini na kuwaamini wenzake
- Anapofanya kosa akili na awe tayari kujirekebisha
- Awe mmbunifu
- Awe mtu mwenye kuthamini michango ya wengine
- Aweze kuwashajilisha wanachama wenzake
- Awe na uwezo wa kuwaunganisha wanachama
33SIFA ZA KIONGOZI MZURI
- Awe mbunifu
- Awe mtu mwenyekuthamini michango ya wengine
- Aweze kuwasajisha wanachama wenzake
- Awe na uwezo wa kuchambua mambo na kuwa na upeo
- Aongoze kulingana na kanuni za jumuiya
- Awe muwazi
- Awe na uwezo wa kupatanisha
- Asiwe na jazba
- (ziko nyingi
34SIFA ZA KIONGOZI MZURI
- Awe na uwezo wa kutekeleza malengo ya jumuiya
- Awe na uwezo wa kusimamia kazi
- Awe muadilifu kwa wanachama
- Awe hawabagui wanachama kwa misingi ya dini
- Awe anatenda haki
- Awe anachukua jukumu la kubeba dhamana.
- Aweze kuwajibika kwa wanachama wake
- Awe shupavu katika kutetea maslahi ya jumuiya
35SIFA ZA KIONGOZI MZURI
- Awe na uwezo mzuri wa kumbukumbu
- Awe na ushirikiano mwema ndani na nje ya jumuiya
- Awe anaongoza kutokana na mazingira yaliyopo
- Awe mtumishi wa watu
- Awe mwenye kujiamini na kuwaamini wenzake
- Anapofanya kosa akiri na akubali kujirekebisha
36AINA ZA UONGOZI
- Ungozi wa kiimla ( kidikteta)
- Uongozi wa kiholela ( Havinimbi)
- Uongozi wa kidemokrasia
37UONGOZI WA KIIMLA
- Unatumia amri
- Unapenda kujilabu ( kujigamba/kuwa na imani ndogo
kwa wanachama - Amri zinatoka juu kuja chini
- Kiongozi anawagawa wanachama
- Wakati mwingi maslahi ya wanachama hayapewi uzito
- Hauko wazi juu ya mapato na matumizi
- Hauruhusu kukosolewa
38UNGOZI WA KIDEMOKRASIA
- Unakuwa na uamuzi wa pamoja
- Wanachama wanatakiwa ushauri
- Sababu za kutoa maamuzi zinatolewa
- Maoni ,mawazo na michango ya wanachama
inakaribishwa, kusikilizwa na kuzingatiwa - Kuna hali ya kukosoana na kupongezana
- Kuna uwajibikaji miongoni mwa wanachama na uongozi
39UONGOZI WA KIHOLELA
- Kiongozi hana mamlaka, kila mtu anafanya
anavyotaka - Maamuzi yanatolewa na yeyote yule
- Ufanisi huwa mdogo kwa kukosekana usimamizi
- Hamu ya kazi inapungua
- Umoja na shahuku huwa duni
- Kila mtu anamlaumu mwenzake
- Ubadhirifu wa rasilimali huwa mkubwa
- Unazalisha majungu na vikundi visivyoleta maslahi
ya jumuiya - Unadhoofisha uhai wa jumuiya
40UONGOZI WA KIDEMOKRASIA
- Ufanisi unakuwa mzuri
- Uhai wa asasi una imarika
- Kunakuwa na tija na ubunifu
- Rasilimali zinatumika kwa ufanisi
- Kunakuwa na ukweli na uwazi
- Kuna hisia ya dhamana