Moduli ya 2 - PowerPoint PPT Presentation

1 / 40
About This Presentation
Title:

Moduli ya 2

Description:

Moduli ya 2 Utangulizi kwa Jaribio la kitabibu Sehemu II Mwongozo wa mwezeshaji Trainer Manual for Community Advisory Boards Module 2: Introduction to Clinical Trials ... – PowerPoint PPT presentation

Number of Views:176
Avg rating:3.0/5.0
Slides: 41
Provided by: KarenF154
Category:
Tags: moduli | weka

less

Transcript and Presenter's Notes

Title: Moduli ya 2


1
Moduli ya 2
  • Utangulizi kwa
  • Jaribio la kitabibu
  • Sehemu II
  • Mwongozo wa mwezeshaji

2
Zana hii ya kufundishia iliandaliwa na the
François-Xavier Bagnoud Center katika Chuo Kikuu
cha Medicine Dentistry of New Jersey, kwa msaada
wa Mtandao wa the International Maternal
Pediatric and Adolescent Clinical Trials
(IMPAACT).
  • Dondoo kutoka machapisho haya zinaweza kutolewa
    nakala bila kizuizi ama pia kutoholewa kwa
    kutambua chimbuko lake, ili mradi machapisho hayo
    yanafanyiwa nakala na kusambazwa bila ya
    kutengeneza faida tu.

Claire Schuster, BS, MPH Network Community
Coordinator Social Scientific Systems,
Inc. EMail cschuster_at_s-3.com (301) 628-3319 ?
Chapisho la 1.1 Nov 2007
3
Awamu za jaribio la kitabibu
  • Awamu ya I Watu 1530
  • Awamu ya II Chini ya watu 100
  • Awamu ya III gtwatu100 kadhaa hadi maelfu ya watu
  • Awamu ya IV
  • gtBaada ya dawa kuingia katika soko. Idadi
    inabadilika kutegemeana na taratibu za utoaji wa
    dawa.

4
Awamu ya I Usalama
  • Lengo Kuainisha kama dawa ni salama katika
    kikundi kidogo cha watu wa kujitolea wenye afya
    njema.

5
Awamu ya II ya jaribio usalama na manufaa
  • Kama hakuna madhara makubwa ya ki-usalama katika
    Awamu hiyo ya I, dawa hiyo inafanyiwa majaribio
    katika Awamu ya II ya jaribio na kwa watu wengi
    zaidi.

6
Awamu ya III Usalama na manufaa
  • Iwapo matokeo ya Awamu ya III yameonesha dawa
    haina madhara makubwa ya ki-usalama na inaelekea
    kuwa ya manufaa, watafiti wanafanya Awamu ya III
    ya jaribio.

7
Awamu ya III Manufaa na usalama
Tiba ya majaribio
  • Malengo
  • Kutafuta kujua ni kwa namna gani dawa inafanya
    kazi (manufaa).
  • Kuendela kuhakiki usalama.

Ikilinganishwa na-
Tiba ya Kiwango
8
Awamu ya IV ya jaribio
  • Lengo Kuainisha usalama na manufaa ya muda
    mrefu miongoni mwa idadi kubwa ya watu.

9
Jaribio lililo-na-kithibiti
Matokeo
Kundi la uchunguzi
Sampuli ya jaribio
Ukilinganisha na
Matokeo
Kundi-kithibiti
10
Usajili wa Washiriki
Kundi la uchunguzi
  • Kumputa ndiyo inawapanga washiriki katika makundi
    kwa mchakato ujulikanao kama kubahatisha.

Sampuli za Jaribio
R
Kundi-Kithibiti
R kuwaweka washiriki katika kundi la tiba
bila-mpangilio-maalum
11
Bila kubahatishaupendeleo
Kundi la uchunguzi
Sampuli ya jaribio
R
Kundi-kithibiti
Wingi wa juu zaidi wa VVU
Wingi mdogo wa ya VVU
12
Jaribio lenye kubahatisha, lenye kundi-kithibiti
13
Majaribio yaliyofumbwa mara-mbili
  • Kufumbwa mara- mbili Si mshiriki wala mtafiti
    anayejua tiba aliyopangiwa mshiriki kipindi chote
    cha utafiti.

14
Majaribio yenye kithibiti cha-kipooza-uongo
  • Inakuwaje iwapo hakuna dawa inayojulikana kuwa ni
    tiba ya manufaa?
  • Watafiti hulinganisha dawa mpya na kipooza-uongo.
  • Tiba ya kipooza-uongo na ile ya uchunguzi
    huandaliwa kwa namna ambayo zinaonekana
    zinafanana kabisa.

Kundi la uchunguzi
Ukilinganisha na-
Kundi kithibiti la Kipooza-uongo
15
Jaribio la kithibiti cha kipooza-uongo
Uchunguzi
Kithibiti
16
Maadili ya majaribio yenye kithibiti cha
kipooza-uongo
  • Iwapo tiba ipo, kimaadili katika jaribio huwezi
    kulipanga kundi moja lipatiwe kipooza-uongo bila
    tiba yoyote.
  • Lakini kama hakuna tiba inayojulikana, hapo ndipo
    kimaadili jaribio linaweza kujumuisha kundi
    kithibiti la kipooza-uongo. Hii ni kwa sababu
    kundi kithibiti la kipooza-uongo wanapatiwa tiba
    ile ile iliyo sahihi iwapo wasingejiunga na
    utafiti (matunzo ya kiwango).

17
Maswali ya majadiliano
  • Iwapo chanjo inagundulika ambayo inaweza kuzuia
    uambukizi wa VVU wakati wa unyonyeshaji wa ziwa
    la mama, je kimaadili ingekuwa sawa kwa kundi
    moja kupata chanjo na kundi jingine kutopata
    chanjo hiyo?
  • Iwapo dawa mpya ya kupunguza makali ya VVU (ARV)
    imegundulika kwa ajili ya kutibu VVU, je
    kimaadili ingekuwa sawa kujaribu dawa hiyo mpya
    ya kupunguza makali ya VVU (ARV) kwa ulinganisho
    na kundi kithibiti la kipooza-uongo?

18
Kisa-Mkasa PACTG 076 au HIVNet 012
19
PACTG 076
  • Katika mwaka 1994, PACTG 076 ulikuwa ni utafiti
    wa kwanza wa kitabibu kuuliza
  • Iwapo tutamtibu mama mjamzito na pia ukamtibu
    mtoto wake wakati wa kuzaliwa na dawa ya ya
    kupunguza makali ya VVU (ARV),je tiba hii
    itapunguza hatari ya mtoto kupata uambukizo wa
    VVU?

20
Mpangilio wa jaribio la PACTG 076
  • Mpangilio wa Kubahatisha wa ZDV ikilinganishwa
    na- Kipooza-Uongo
  • Kufumbwa mara-mbili
  • Kithibiti cha kipooza-uongo

21
Matumizi ya kipooza-uongo
  • Katika mazingira haya, je unahisi kwamba kutumia
    kundi la kipooza-uongo katika jaribio hili ni
    sawa kimaadili?
  • Hi kwa nini watafiti wanapenda kuwa na kundi
    kithibiti la kipooza-uongo?

22
Kigezo cha kujumuishwa na kuto-kujumuishwa
  • Mwenye uambukizo wa VVU, ana mimba ya wiki 14-34
  • Wingi wa idadi ya zaidi ya CD4 kwenye 200/mm3
  • Hatumii dawa zozote za kuzuia makali ya VVU (ARV)
  • Dawa za kuzuia makali ya VVU (ARV) hazijaainishwa
    kwa ajili ya afya ya mwanamke huyu (kwa kigezo
    kiwango katika kipindi hiki cha jaribio)
  • Uchunguzi wa dalili mbaya za mimba (Sonogram)
    hakuna matatizo yoyote ya kutishia kuharibika kwa
    mimba

23
PACTG 076 mpangilio wa matukio
  • Wanawake na watoto wachanga kuchunguzwa kwa
    uangalifu sana na kwa vipindi vyenye mpangilio wa
    mara kwa mara ili kuchunguza
  • Athari
  • Dalili/ishara za uambukizo wa VVU (kwa watoto
    wachanga)

24
Ufuatiliaji
  • Bodi ya usalama na ufuatiliaji (DSMB) ni kundi
    la wanasayansi nje ya jaribio hilo ambao
    hufuatiklia zile takwimu zilizofumbwa kipindi cha
    jaribio.

25
DSMB ya PACTG 076
  • Katikati ya jaribio, DSMB walizilinganisha
    takwimu kutoka kundi la ZDV na zile za kundi la
    kipooza-uongo.

Kundi la ZDV Kundi la kipooza-uongo
26
DSMB walichogundua
  • Watoto wachanga ambao mama zao walikuwa katika
    kundi la ZDV walikuwa na uwezekano kwa kiwango
    kidogo zaidi kugundulika na uambukizo wa VVU
    kuliko watoto wachanga ambao mama zao walikuwa
    katika kundi la kipooza-uongo.

Kundi la ZDV Kundi la Kipooza-uongo
27
Matokeo halisi PACTG 076
  • Tunalo deni kubwa la kuwashukuru wale wanawake
    waliojisajili katika jaribio hili.

28
Muhstasari
  • Majaribio ya kitabibu ndio njia iliyo bora zaidi
    ya kupima usalama na umanufaa wa tiba mpya ya
    VVU. Zipo awamu zenye hatua kadhaa katika
    majaribio ya kitabibu.
  • Ule mpangilio wa jaribio la kitabibu ni muhimu.
    Mpangilio sahihi utahakikisha kwamba jaribio ni
    la usawa na matokeo yake kisayansi ni sahihi.

29
Kisa Mkasa HIVNet 012
30
PACTG 076 Jaribio la kwanza la kitabibu la
PMTCT la dawa ya kupunguza makali ya VVU (ARV)
  • Mpangilio wa kubahatisha
  • ZDV ikilinganishwa na Kipooza uongo
  • Jaribio Lililofumbwa mara-mbili
  • Lenye kundi kithibiti cha kipooza-uongo

31
DSMB
  • Bodi ya usalama na ufuatiliaji
  • Wanasayansi ambao sio watendaji katika jaribio
    hilo, lakini huchunguza zile takwimu wakati wa
    jaribio (ambazo bado hazijafumbuliwa) ili
    kugundua matatizo.
  • Katika kisa hiki cha PACTG 076, ile DSMB
    iligundua kwamba mojawapo ya makundi lilikuwa na
    uwezekano wa hatari ndogo zaidi ya uambukizo wa
    mama kwenda kwa mtoto.

32
HIVNet 012
  • Kutambua njia salama, ya manufaa ya PMTCT ambayo
    pia itakuwa muafaka na ambayo watu wa mazingira
    yenye rasilimali duni wanaweza kuimudu

33
Maswali ya majaliano
  • Unafikiria nini juu ya maadili ya kujumuisha
    kundi la kipooza-uongo katika jaribio hili
    ukilinganisha na kuto-kulijumuisha?
  • Kile kiwango cha matunzo huko Uganda kwa kipindi
    hicho ambapo hapakuwepo na dawa za kupunguza
    makali ya VVU (ARV) zilizokuwa zinapatikana.
  • Kile kiwango cha matunzo katika nchi tajiri zaidi
    kilikuwa ni tiba ya kuzuia ugonjwa (prophylaxis)
    kwa kutumia dawa za kupunguza makali ya VVU (ARV)
    kwa ajili ya PMTCT.

34
HIVNet 012
  • ZDV dawa inayofanya kazi katika muda mfupi
  • NVP Dawa inayofanya kazi kwa muda mrefu zaidi

35
Mpangilio wa jaribio
  • Ya-bila mpangilio
  • Iliyo-wazi
  • Jaribio la kulinganisha Dozi ya chini ya ZDV
    ikilinganishwa na dozi moja tu ya nevirapine
    (dozi moja tu kwa kila mama na kila mtoto mchanga)

36
Mpangilio wa jaribio
  • Washiriki
  • Wanawake wajawazito wasio na uambukizo wa VVU
  • Hawana uambukizo wa ugonjwa hatari au uambukizo
    wa aina nyingine yoyote
  • Hawatumii aina nyingine yoyote ya dawa za
    kupunguza makali ya VVU (ARV)
  • Umri zaidi ya miaka 18
  • Ujauzito wa angalau wiki 32
  • Kuhudhuria kliniki ya kabla ya kuzaa

37
Mpangilio wa matukio
  • Watoto wachanga kuchunguzwa kwa uangalifu sana na
    kwa vipindi vyenye mpangilio wa mara kwa mara.
  • Kuchunguza
  • Athari
  • Dalili/ishara za uambukizo wa VVU

38
Matokeo ya HIVNet 012
  • Watoto wachanga kutoka katika lile kundi la NVP
    walikuwa na uwezekano mdogo zaidi wa kuzaliwa na
    uambukizo wa VVU kuliko watoto wachanga kutoka
    katika lile kundi ambalo walipatiwa ZDV.


Kundi la ZDV
Kundi la NVP
39
Swali la majadiliano
  • Ni kwa namna gani unadhani utafiti unaweza
    kusaidia kushughulikia uambukizo wa mama kwenda
    kwa mtoto kati ya nchi tajiri na zile maskini?
  • Je unaweza kufikiria juu ya swali la utafiti la
    kuuliza?

40
Muhstasari
  • Majaribio ya kitabibu ndio njia iliyo bora zaidi
    ya kupima usalama na umanufaa wa tiba mpya ya
    VVU. Zipo awamu zenye hatua kadhaa katika
    majaribio ya kitabibu.
  • Ule mpangilio wa jaribio la kitabibu ni muhimu.
    Mpangilio sahihi utahakikisha kwamba jaribio ni
    la usawa na matokeo yake kisayansi ni sahihi.
Write a Comment
User Comments (0)
About PowerShow.com