Kaza kamba ili ziweze kushikilia - PowerPoint PPT Presentation

1 / 18
About This Presentation
Title:

Kaza kamba ili ziweze kushikilia

Description:

Title: Slide 1 Author: Guest Last modified by: Ken Campbell Created Date: 7/30/2003 3:21:33 PM Document presentation format: A4 Paper (210x297 mm) Other titles – PowerPoint PPT presentation

Number of Views:62
Avg rating:3.0/5.0
Slides: 19
Provided by: Gues5242
Category:
Tags: ili | kamba | kaza | kushikilia | ziweze

less

Transcript and Presenter's Notes

Title: Kaza kamba ili ziweze kushikilia


1
18
Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa
uimara zaidi
2
Epuka kuacha nafasi kama hizi chini ya mtego
Usibakize majani kama haya unaposafisha eneo lako
19
3
20
Sasa weka 'kikusanyio' cha ndorobo watakaovutwa
na mtego
4
Weka kwanza faneli ya kikusanyio kwenye wavu wa
mtego
Wavu uwe imara kama hivi utakapoweka kikusanyio
21
5
Pachika sehemu ya juu ya kikusanyio
22
6
23
Funga vizuri na kamba nyembamba
7
24
Hakikisah hakuna na matunda makubwa kama haya
8
..... hata madogo kama haya
25
9
26
Usitumie kamba nzito kama hizi zitafanya baadhi
ya ndorobo wasiingie kwenye kikusanyio
10
27
Funga mfuko wa nailoni kwenye kikusanyio
11
28
Weka kivutio kwenye mfuko wa mtego
12
Mtego ukishategwa uwe namna hii
29
13
30
Usitege mtego chini ya miti yenye kivuli
14
... na hakikisha mtego haujalegea kama hivi
31
15
Wakati wa kutoa kunja vizuri mtego wako
32
16
33
Hakikisha vifaa vyote umerudisha..
17
34
Funga kwa kutumia mojawapo ya kamba za mtego
18
Mtego uko tayari kutumiwa siku nyingine
35
Write a Comment
User Comments (0)
About PowerShow.com