Title: Uwazi na Upatikanaji wa Taarifa za Bajeti ya Serikali
1Uwazi na Upatikanaji wa Taarifa za Bajeti ya
Serikali
- Irenei Kiria
- Mkutano wa Mwaka wa AZAKI 28 October 2009, Dar es
Salaam
2Maandalizi ya mada hii
- Open Budget Index (OBI) 2008 iliyofanywa na
International Budget Partnership kupitia
Hakielimu. - Tovuti za kutembelea
- www.mof.go.tz
- www.parliament.go.tz
- www.internationalbudget.org
- www.policyforum-tz.org
- www.hakielimu.org
- www.repoa.or.tz
- www.yav.or.tz
3Mchakato wa Bajeti na Taarifa
2. Upitishwaji Bajeti Bajeti iliyopitishwa Bajeti
ya Wananchi
1. Uandaaji Bajeti Mwongozo wa Bajeti Makadirio
ya Bajeti
- 3. Utekelezaji Bajeti
- Ripoti za miezi 3
- Ripoti za nusu mwaka
- Ripoti za Mwaka
4. Tathmini Bajeti Ripoti za ukaguzi wa Hesabu
4Mzunguko wa Mchakato
5Taarifa hizo zinapatikana? OBI 2008
6Kipimo Uwazi na Upatikanaji
- Wastani wa majibu ya maswali 91
- 81 100 Taarifa zote kuhusu bajeti
- 61 80 Taarifa muhimu tu
- 41 60 Taarifa kiasi
- 21 - 40 Taarifa kidogo sana
- 0 20 Hakuna taarifa
- Source OBI 2008
7Hali ya Tanzania
- Katika OBI ya 2008 Tanzania ina 35, ina maana
inatoa taarifa kidogo sana - Mwaka 2006 Tanzania ilikuwa na 48, kwamba inatoa
taarifa kiasi
8Tanzania na Afrika Mashariki OBI
9Wananchi wana haki ya kupata taarifa za bajeti?
10Sheria
- Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2005
Ibara ya 18d inatoa haki kwa kila raia kutafuta,
kupokea, na kusambaza taarifa bila mipaka - Haki hii ya kikatiba haijatungiwa sheria ya
utekelezaji wake
11Kwa nini bajeti iwe wazi
- Ni pesa za wananchi
- Serikali inatumikia wananchi
- Bajeti ni sera kuu ya maendeleo
- Kufananisha sera na bajeti
- Kufuatilia na kutathmini utendaji wa serikali
- Kupunguza uwezekano wa ufujaji
12Taarifa za Bajeti Serikali Kuu
- Huandaliwa na Wizara husika pamoja na Wizara ya
Fedha kupitishwa na Baraza la Mawaziri (wananchi
hawahusishwi) - Makadirio ya bajeti ni siri hadi yapitishwe na
Bunge (July au August) - Vitabu vya Bajeti vimeandikwa kitaalamu/Kiingereza
- Taarifa za sekta moja zinapatikana kutoka vitabu
na sehemu tofauti
13Taarifa za Bajeti Serikali Kuu
- Hakuna bajeti ya wananchi (rahisi kusoma na
kuelewa) - Wabunge hupewa bajeti wiki chache kabla ya kikao
kuanza (vitabu 4 vikubwa) - Vitabu vya bajeti havina maelezo ya kina (jumla
za kati peke yake) - MTEF ndiyo ina maelezo ya kina lakini Wabunge
hawapewi, ni vigumu kuipata
14Taarifa za Bajeti Halmashauri
- Vipaumbele vya jamii huingia kwenye bajeti?
- Kila idara huandaa bajeti yake, kufuata miongozo
mbali mbali! - Mipango yote ya kila idara hupitishwa na Baraza
la madiwani (serikali kuu hufanya marekebisho
pia) - Bajeti ya serikali za mitaa hupitishwa chini ya
Bajeti ya Waziri Mkuu (sector zote!)
15Utekelezaji wa Bajeti
- Wizara ya fedha huchapisha kwenye tovuti utoaji
wa fedha (disbursement) - Wizara hazichapishi kupokea pesa
- Halmashauri nyingi hazichapishi kupokea
- Taarifa za matumizi haziko wazi au ni ngumu
kuelewa - Upitishaji wa bajeti hauzingatii utekelezaji wa
bajeti iliyopita - Ufujaji, (value for money) ni tatizo
16Taarifa za Ukaguzi wa Hesabu
- Zinachelewa takribani mwaka mmoja
- Ziko wazi kwenye tovuti, au ukiomba
- Za taasisi mojamoja ziliwahi kupatikana tovuti
- Kuna Halmashauri zinabandika hadharani
- Taarifa hizi zimeandikwa kitaalamu
- Ukaguzi hauzingatii dhamani ya mali kwa pesa
zilizotumika - Wanaofuja pesa wengi hawawajibishwi
- Matatizo yanajirudia mwaka hadi mwaka
17Wananchi wana Mwamko?
- Kata ya Azimio, Manispaa ya Temeke (July 2009)
18(No Transcript)
19(No Transcript)
20(No Transcript)
21(No Transcript)
22(No Transcript)
23(No Transcript)
24Wakazi Azimio wanayajua hayo?
25Utafanya nini kupata taarifa za mipango, mapato
na matumizi ya serikali?
- Utazifanyia nini hizo taarifa?
26- Nenda katekeleze,
- ushirikishe wenzako!