Title: Kaza kamba ili ziweze kushikilia
118
Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa
uimara zaidi
2Epuka kuacha nafasi kama hizi chini ya mtego
Usibakize majani kama haya unaposafisha eneo lako
19
320
Sasa weka 'kikusanyio' cha ndorobo watakaovutwa
na mtego
4Weka kwanza faneli ya kikusanyio kwenye wavu wa
mtego
Wavu uwe imara kama hivi utakapoweka kikusanyio
21
5Pachika sehemu ya juu ya kikusanyio
22
623
Funga vizuri na kamba nyembamba
724
Hakikisah hakuna na matunda makubwa kama haya
8..... hata madogo kama haya
25
926
Usitumie kamba nzito kama hizi zitafanya baadhi
ya ndorobo wasiingie kwenye kikusanyio
1027
Funga mfuko wa nailoni kwenye kikusanyio
1128
Weka kivutio kwenye mfuko wa mtego
12Mtego ukishategwa uwe namna hii
29
1330
Usitege mtego chini ya miti yenye kivuli
14... na hakikisha mtego haujalegea kama hivi
31
15Wakati wa kutoa kunja vizuri mtego wako
32
1633
Hakikisha vifaa vyote umerudisha..
1734
Funga kwa kutumia mojawapo ya kamba za mtego
18Mtego uko tayari kutumiwa siku nyingine
35